1Bwana anatawala, nchi na ifurahi,
2Mawingu na giza nene vinamzunguka,
3Moto hutangulia mbele zake
4Umeme wake wa radi humulika dunia,
5Milima huyeyuka kama nta mbele za Bwana,
6Mbingu zinatangaza haki yake,
7Wote waabuduo sanamu waaibishwa,
8Sayuni husikia na kushangilia,
9Kwa kuwa wewe, Ee Bwana, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote;
10Wale wanaompenda Bwana na wauchukie uovu,
11Nuru huangaza wenye haki
12Furahini katika Bwana, ninyi mlio wenye haki,