1Ni vyema kumshukuru Bwana
2kuutangaza upendo wako asubuhi,
3kwa zeze yenye nyuzi kumi
4Ee Bwana, kwa kuwa matendo yako yamenifurahisha,
5Ee Bwana, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako,
6Mjinga hafahamu,
7ingawa waovu huchipua kama majani
8Bali wewe, Ee Bwana,
9Ee Bwana, hakika adui zako,
10Umeitukuza pembe92:10 Pembe inawakilisha nguvu. yangu kama ile ya nyati dume,
11Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa,
12Wenye haki watastawi kama mtende,
13waliopandwa katika nyumba ya Bwana,
14Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda,
15wakitangaza, “Bwana ni mkamilifu;