1Nitaimba juu ya upendo mkuu wa Bwana milele;
2Nitatangaza kuwa upendo wako unasimama imara milele
3Ulisema, “Nimefanya agano na mteule wangu,
4‘Nitaimarisha uzao wako milele
5Ee Bwana, mbingu zinayasifu maajabu yako,
6Kwa kuwa ni nani katika mbingu
7Katika kusanyiko la watakatifu, Mungu huogopwa sana,
8Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote,
9Wewe unatawala bahari yenye msukosuko;
10Wewe ulimponda Rahabu89:10 Rahabu hapa ina maana jina la Misri kwa fumbo, yaani mwenye majivuno (lakini sio Rahabu wa Yos 2).
11Mbingu ni zako, nayo nchi pia ni yako,
12Uliumba kaskazini na kusini;
13Mkono wako umejaa uwezo;
14Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chako cha enzi;
15Heri ni wale ambao wamejifunza kukusifu kwa shangwe,
16Wanashangilia katika jina lako mchana kutwa,
17Kwa kuwa wewe ni utukufu na nguvu yao,
18Naam, ngao yetu ni mali ya Bwana,
19Ulizungumza wakati fulani katika maono,
20Nimemwona Daudi, mtumishi wangu,
21Kitanga changu kitamtegemeza,
22Hakuna adui atakayemtoza ushuru,
23Nitawaponda adui zake mbele zake
24Upendo wangu mkamilifu utakuwa pamoja naye,
25Nitauweka mkono wake juu ya bahari,
26Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu,
27Nitamteua pia awe mzaliwa wangu wa kwanza,
28Nitadumisha upendo wangu kwake milele,
29Nitaudumisha uzao wake milele,
30“Kama wanae wataacha amri yangu
31kama wakihalifu maagizo yangu
32nitaadhibu dhambi yao kwa fimbo,
33lakini sitauondoa upendo wangu kwake,
34Mimi sitavunja agano langu
35Mara moja na kwa milele, nimeapa kwa utakatifu wangu,
36kwamba uzao wake utaendelea milele,
37kitaimarishwa milele kama mwezi,
38Lakini wewe umemkataa, umemdharau,
39Umelikana agano lako na mtumishi wako,
40Umebomoa kuta zake zote,
41Wote wapitao karibu wamemnyangʼanya mali zake;
42Umeutukuza mkono wa kuume wa adui zake,
43Umegeuza makali ya upanga wake,
44Umeikomesha fahari yake,
45Umezifupisha siku za ujana wake,
46Hata lini, Ee Bwana? Utajificha milele?
47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka.
48Ni mtu gani awezaye kuishi na asione kifo,
49Ee Bwana, uko wapi upendo wako mkuu wa mwanzoni,
50Bwana kumbuka jinsi mtumishi wako amesimangwa,
51dhihaka ambazo kwazo adui zako
52Msifuni Bwana milele!