We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 86

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 85 Zaburi Zaburi 87 →

1Ee Bwana, sikia na unijibu,

2Linda maisha yangu, kwa maana nimejiweka kwako,

3Ee Bwana, nihurumie mimi,

4Mpe mtumishi wako furaha,

5Ee Bwana, wewe ni mwema na mwenye kusamehe,

6Ee Bwana, sikia maombi yangu,

7Katika siku ya shida yangu nitakuita,

8Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe,

9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya

10Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu;

11Ee Bwana, nifundishe njia yako,

12Ee Bwana wangu, nitakusifu kwa moyo wote;

13Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu;

14Ee Mungu, wenye majivuno wananishambulia;

15Lakini wewe, Ee Bwana, ni Mungu wa huruma na neema,

16Nigeukie na unihurumie;

17Nipe ishara ya wema wako,

← Zaburi 85 Zaburi Zaburi 87 →