We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 85

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 84 Zaburi Zaburi 86 →

1Ee Bwana, ulionyesha wema kwa nchi yako.

2Ulisamehe uovu wa watu wako,

3Uliweka kando ghadhabu yako yote

4Ee Mungu Mwokozi wetu, uturejeshe tena,

5Je, utatukasirikia milele?

6Je, hutatuhuisha tena,

7Utuonyeshe upendo wako usiokoma, Ee Bwana,

8Nitasikiliza lile atakalosema Mungu aliye Bwana;

9Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao,

10Upendo na uaminifu hukutana pamoja,

11Uaminifu huchipua kutoka nchi,

12Naam, hakika Bwana atatoa kilicho chema,

13Haki itatangulia mbele yake

← Zaburi 84 Zaburi Zaburi 86 →