1Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote,
2Nafsi yangu inatamani sana,
3Hata shomoro amejipatia makao,
4Heri wale wanaokaa nyumbani mwako,
5Heri wale ambao nguvu zao ziko kwako,
6Wanapopita katika Bonde la Baka,84:6 Yaani Bonde la Vilio.
7Huendelea toka nguvu hadi nguvu,
8Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, sikia maombi yangu;
9Ee Mungu, uitazame ngao yetu,
10Siku moja katika nyua zako ni bora
11Kwa kuwa Bwana ni jua na ngao,
12Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote,