1Ee Mungu, usinyamaze kimya,
2Tazama watesi wako wanafanya fujo,
3Kwa hila, wanafanya shauri dhidi ya watu wako,
4Wanasema, “Njooni, tuwaangamize kama taifa,
5Kwa nia moja wanapanga mashauri mabaya pamoja,
6mahema ya Edomu na Waishmaeli,
7Gebali,83:7 Yaani Bubilo, mji wa zamani sana wa Ufoinike (kama kilomita 80 kaskazini mwa Beiruti). Amoni na Amaleki,
8Hata Ashuru wameungana nao
9Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani,
10ambao waliangamia huko Endori
11Wafanye wakuu wao kama Orebu na Zeebu,
12ambao walisema, “Na tumiliki nchi
13Ee Mungu wangu, wapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli,
14Kama vile moto uteketezavyo msitu
15wafuatilie kwa tufani yako
16Funika nyuso zao kwa aibu
17Wao na waaibishwe na kufadhaishwa milele,
18Hebu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni Bwana,