1Mwimbieni kwa furaha, Mungu aliye nguvu yetu;
2Anzeni wimbo, pigeni matari,
3Pigeni baragumu za pembe za kondoo dume
4hii ni amri kwa Israeli,
5Aliiweka iwe kama sheria kwa Yosefu
6Asema, “Nimeondoa mzigo mabegani mwao;
7Katika shida yako uliniita nami nikakuokoa,
8“Enyi watu wangu, sikieni, nami nitawaonya:
9Hamtakuwa na mungu mgeni miongoni mwenu;
10Mimi ni Bwana Mungu wako,
11“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza;
12Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao
13“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza,
14ningaliwatiisha adui zao kwa haraka,
15Wale wanaomchukia Bwana wangalinyenyekea mbele zake,
16Bali ninyi mngalilishwa ngano iliyo bora,