1Ee Mchungaji wa Israeli tusikie,
2mbele ya Efraimu, Benyamini na Manase.
3Ee Mungu, uturejeshe,
4Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote,
5Umewalisha kwa mkate wa machozi,
6Tumekuwa chanzo cha ugomvi kwa jirani zetu,
7Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote, uturejeshe;
8Ulileta mzabibu kutoka Misri,
9Uliandaa shamba kwa ajili yake,
10Milima ilifunikwa kwa kivuli chake,
11Matawi yake yalienea mpaka Baharini,80:11 Huenda inamaanisha Bahari ya Mediterania.
12Mbona umebomoa kuta zake
13Nguruwe mwitu wanauharibu
14Turudie, Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote!
15mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume,
16Mzabibu wako umekatwa, umechomwa moto,
17Mkono wako na utulie juu ya mtu aliyeko mkono wako wa kuume,
18Ndipo hatutakuacha tena,
19Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, uturejeshe;