We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 78

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 77 Zaburi Zaburi 79 →

1Enyi watu wangu, sikieni mafundisho yangu,

2Nitafungua kinywa changu kwa mafumbo,

3yale ambayo tuliyasikia na kuyajua,

4Hatutayaficha kwa watoto wao;

5Aliagiza amri kwa Yakobo

6ili kizazi kijacho kizijue,

7Ndipo wangeweka tumaini lao kwa Mungu,

8Ili wasifanane na baba zao,

9Watu wa Efraimu, ingawa walijifunga pinde,

10Hawakulishika agano la Mungu

11Walisahau aliyokuwa ameyatenda,

12Alitenda miujiza machoni mwa baba zao,

13Aliigawanya bahari akawapitisha,

14Aliwaongoza kwa wingu mchana

15Alipasua miamba jangwani

16alitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka,

17Lakini waliendelea kutenda dhambi dhidi yake,

18Kwa makusudi walimjaribu Mungu,

19Walinena dhidi ya Mungu, wakisema,

20Alipopiga mwamba, maji yalitoka kwa nguvu,

21Bwana alipowasikia, alikasirika sana,

22kwa kuwa hawakumwamini Mungu,

23Hata hivyo alitoa amri kwa anga zilizo juu

24akawanyeshea mana ili watu wale;

25Watu walikula mkate wa malaika,

26Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu

27Aliwanyeshea nyama kama mavumbi,

28Aliwafanya washuke ndani ya kambi yao,

29Walikula na kusaza,

30Kabla hawajamaliza kula walichokitamani,

31hasira ya Mungu ikawaka juu yao,

32Licha ya haya yote, waliendelea kutenda dhambi,

33Kwa hiyo akamaliza siku zao katika ubatili

34Kila mara Mungu alipowaua baadhi yao,

35Walikumbuka kwamba Mungu alikuwa Mwamba wao,

36Lakini walimdanganya kwa vinywa vyao,

37mioyo yao haikuwa thabiti kwake,

38Hata hivyo alikuwa na huruma,

39Alikumbuka kwamba wao walikuwa nyama tu,

40Mara ngapi walimwasi jangwani

41Walimjaribu Mungu mara kwa mara,

42Hawakukumbuka uwezo wake,

43siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri,

44Aligeuza mito yao kuwa damu,

45Aliwapelekea makundi ya mainzi yakawala,

46Aliruhusu tunutu kuharibu mimea yao,

47Aliharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe

48Aliwaachia mifugo yao mvua ya mawe,

49Aliwafungulia hasira yake kali,

50Aliitengenezea njia hasira yake,

51Aliwapiga wazaliwa wote wa kwanza wa Misri,

52Lakini aliwatoa watu wake kama kundi,

53Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa,

54Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu,

55Aliyafukuza mataifa mbele yao,

56Lakini wao walimjaribu Mungu,

57Kama baba zao, hawakuwa thabiti wala waaminifu,

58Wakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia miungu,

59Wakati Mungu alipowasikia, alikasirika sana,

60Akaiacha hema ya Shilo,

61Akalipeleka Sanduku la nguvu zake utumwani,

62Aliachia watu wake wauawe kwa upanga,

63Moto uliwaangamiza vijana wao,

64makuhani wao waliuawa kwa upanga,

65Ndipo Bwana alipoamka kama vile kuamka usingizini,

66Aliwapiga na kuwashinda adui zake,

67Ndipo alipozikataa hema za Yosefu,

68lakini alilichagua kabila la Yuda,

69Alijenga patakatifu pake kama vilele,

70Akamchagua Daudi mtumishi wake

71Kutoka kuchunga kondoo alimleta

72Naye Daudi aliwachunga kwa uadilifu wa moyo,

← Zaburi 77 Zaburi Zaburi 79 →