We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 74

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 73 Zaburi Zaburi 75 →

1Ee Mungu, mbona umetukataa milele?

2Kumbuka watu uliowanunua zamani,

3Geuza hatua zako kuelekea magofu haya ya kudumu,

4Adui zako wamenguruma pale ulipokutana nasi,

5Walifanya kama watu wanaotumia mashoka

6Walivunjavunja milango yote iliyonakshiwa

7Waliteketeza kabisa mahali pako patakatifu,

8Walisema mioyoni mwao,

9Hatukupewa ishara za miujiza;

10Ee Mungu, mtesi atakudhihaki mpaka lini?

11Kwa nini unazuia mkono wako,

12Lakini wewe, Ee Mungu, ni mfalme wangu tangu zamani,

13Ni wewe uliyeigawanya bahari kwa uweza wako;

14Ni wewe uliyeponda vichwa vya Lewiathani74:14 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa.

15Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito,

16Mchana ni wako, nao usiku ni wako pia,

17Ni wewe uliyeiweka mipaka yote ya dunia,

18Ee Bwana, kumbuka jinsi mtesi alivyokudhihaki,

19Usiukabidhi uhai wa njiwa wako kwa wanyama wakali wa mwitu;

20Likumbuke agano lako,

21Usiruhusu walioonewa warudi nyuma kwa aibu;

22Inuka, Ee Mungu, ujitetee;

23Usipuuze makelele ya watesi wako,

← Zaburi 73 Zaburi Zaburi 75 →