1Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli,
2Bali kwangu mimi, miguu yangu ilikuwa karibu kuteleza;
3Kwa maana niliwaonea wivu wenye kujivuna
4Wao hawana taabu,73:4 Tafsiri nyingine zinasema: hawana maumivu katika kufa kwao.
5Hawapati shida zinazowataabisha watu wengine,
6Kwa hiyo kiburi ni mkufu wao,
7Uovu hutoka katika mioyo yao iliyokufa ganzi,
8Hudhihaki na kusema kwa ukorofi,
9Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu,
10Kwa hiyo watu wao huwageukia
11Wanasema, “Mungu awezaje kujua?
12Hivi ndivyo walivyo waovu:
13Hakika nimeuweka moyo wangu safi bure,
14Mchana kutwa nimetaabika,
15Kama ningesema, “Nitasema hivi,”
16Nilipojaribu kuelewa haya yote,
17Mpaka nilipoingia patakatifu pa Mungu,
18Hakika unawaweka mahali pa utelezi,
19Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula,
20Kama ndoto mtu aamkapo,
21Wakati moyo wangu ulipohuzunishwa,
22nilikuwa mpumbavu na mjinga,
23Hata hivyo niko pamoja nawe siku zote,
24Unaniongoza kwa shauri lako,
25Nani niliye naye mbinguni ila wewe?
26Mwili na moyo wangu vyaweza kushindwa,
27Wale walio mbali nawe wataangamia,
28Lakini kwangu mimi,