1Ee Mungu, mjalie mfalme aamue kwa haki yako,
2Atawaamua watu wako kwa haki,
3Milima italeta mafanikio kwa watu,
4Atawatetea walioonewa miongoni mwa watu
5Atadumu kama jua lidumuvyo, kama mwezi, vizazi vyote.
6Atakuwa kama mvua inyeshayo juu ya shamba lililofyekwa,
7Katika siku zake wenye haki watastawi;
8Atatawala kutoka bahari hadi bahari
9Makabila ya jangwani watamsujudia,
10Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali
11Wafalme wote watamsujudia
12Kwa maana atamwokoa mhitaji anayemlilia,
13Atawahurumia wanyonge na wahitaji
14Atawaokoa kutoka uonevu na ukatili,
15Aishi maisha marefu!
16Nafaka ijae tele katika nchi yote,
17Jina lake na lidumu milele,
18Bwana Mungu, Mungu wa Israeli, apewe sifa,
19Jina lake tukufu lisifiwe milele,
20Huu ndio mwisho wa maombi ya Daudi mwana wa Yese.