We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 71

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 70 Zaburi Zaburi 72 →

1Ee Bwana, nimekukimbilia wewe,

2Kwa haki yako uniponye na kuniokoa,

3Uwe kwangu mwamba wa kimbilio,

4Ee Mungu wangu uniokoe kutoka kwenye mkono wa mwovu,

5Kwa kuwa umekuwa tumaini langu, Ee Bwana Mwenyezi,

6Tangu kuzaliwa nimekutegemea wewe,

7Nimekuwa kama kioja kwa wengi,

8Kinywa changu kimejazwa sifa zako,

9Usinitupe wakati wa uzee,

10Kwa maana adui zangu wananisengenya,

11Wanasema, “Mungu amemwacha,

12Ee Mungu, usiwe mbali nami,

13Washtaki wangu na waangamie kwa aibu,

14Lakini mimi, nitatumaini siku zote,

15Kinywa changu kitasimulia haki yako,

16Ee Bwana Mwenyezi, nitakuja

17Ee Mungu, umenifundisha tangu ujana wangu,

18Ee Mungu, usiniache,

19Ee Mungu, haki yako imefika juu katika mbingu,

20Ingawa umenifanya nipate taabu, nyingi na chungu,

21Utaongeza heshima yangu

22Ee Mungu wangu, nitakusifu kwa kinubi

23Midomo yangu itapaza sauti kwa furaha

24Ulimi wangu utasimulia matendo yako ya haki

← Zaburi 70 Zaburi Zaburi 72 →