1Ee Mungu, unisikie ninapoeleza lalamiko langu,
2Unifiche kutokana na shauri la siri la waovu,
3Wananoa ndimi zao kama panga
4Hurusha mishale kutoka kwenye mavizio kwa mtu asiye na hatia,
5Kila mmoja humtia moyo mwenzake
6Hufanya shauri baya la dhuluma na kusema,
7Bali Mungu atawapiga kwa mishale,
8Atageuza ndimi zao wenyewe dhidi yao
9Wanadamu wote wataogopa,
10Wenye haki na wafurahi katika Bwana,