We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 58

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 57 Zaburi Zaburi 59 →

1Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki?

2La, mioyoni mwenu mnatunga udhalimu,

3Waovu ni wapotovu tangu kuzaliwa kwao,

4Sumu yao ni kama sumu ya nyoka,

5ambaye hatasikia sauti ya kutumbuiza ya mwaguzi,

6Ee Mungu, yavunje meno katika vinywa vyao;

7Na watoweke kama maji yapitayo kwa kasi,

8Kama konokono ayeyukavyo akitembea,

9Kabla vyungu vyenu havijapata moto wa kuni za miiba,

10Wenye haki watafurahi waonapo wakilipizwa kisasi,

11Ndipo wanadamu watasema,

← Zaburi 57 Zaburi Zaburi 59 →