1Unihurumie, Ee Mungu, unihurumie,
2Namlilia Mungu Aliye Juu Sana,
3Hutumana kutoka mbinguni na kuniokoa,
4Niko katikati ya simba,
5Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu,
6Waliitegea miguu yangu nyavu,
7Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti;
8Amka, nafsi yangu!
9Nitakusifu wewe, Ee Bwana, katikati ya mataifa;
10Kwa maana upendo wako ni mkuu, waenea hadi mbinguni,
11Ee Mungu, utukuzwe juu mbinguni,