We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 49

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 48 Zaburi Zaburi 50 →

1Sikieni haya, enyi mataifa yote,

2Wakubwa kwa wadogo,

3Kinywa changu kitasema maneno ya hekima,

4Nitatega sikio langu nisikilize mithali,

5Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja,

6wale wanaotegemea mali zao

7Hakuna mwanadamu awaye yote

8Fidia ya uhai ni gharama kubwa,

9ili kwamba aishi milele

10Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa;

11Makaburi yao yatabaki kuwa nyumba zao za milele,

12Lakini mwanadamu, licha ya utajiri wake, hadumu;

13Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe,

14Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini,49:14 Kaburini hapa ina maana ya Sheol kwa Kiebrania, yaani Kuzimu.

15Lakini Mungu atakomboa uhai49:15 Au: nafsi. wangu na kaburi,

16Usitishwe mtu anapotajirika,

17kwa maana hatachukua chochote atakapokufa,

18Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri,

19atajiunga na kizazi cha baba zake,

20Mwanadamu mwenye utajiri bila ufahamu

← Zaburi 48 Zaburi Zaburi 50 →