1Pigeni makofi, enyi mataifa yote,
2Jinsi gani alivyo wa kutisha, Bwana Aliye Juu Sana,
3Ametiisha mataifa chini yetu
4Alituchagulia urithi wetu,
5Mungu amepaa kwa kelele za shangwe,
6Mwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa,
7Kwa kuwa Mungu ni mfalme wa dunia yote,
8Mungu anatawala juu ya mataifa,
9Wakuu wa mataifa wanakusanyika