1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,
2Kwa hiyo hatutaogopa, hata kama dunia ikiondolewa
3Hata kama maji yake yatanguruma na kuumuka,
4Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu,
5Mungu yuko katikati yake, hautaanguka,
6Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka,
7Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi,
8Njooni mkaone kazi za Bwana
9Anakomesha vita hata miisho ya dunia,
10“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu;
11Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi;