We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 39

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 38 Zaburi Zaburi 40 →

1Nilisema, “Nitaziangalia njia zangu

2Lakini niliponyamaza kimya na kutulia,

3Moyo wangu ulipata moto ndani yangu,

4“Ee Bwana, nijulishe mwisho wa maisha yangu

5Umefanya maisha yangu mafupi kama pumzi;

6Hakika kila binadamu ni kama njozi

7“Lakini sasa Bwana, nitafute nini?

8Niokoe kutoka kwenye makosa yangu yote,

9Nilinyamaza kimya,

10Niondolee mjeledi wako,

11Unakemea na kuadhibu wanadamu

12“Ee Bwana, usikie maombi yangu,

13Tazama mbali nami, ili niweze kufurahi tena

← Zaburi 38 Zaburi Zaburi 40 →