We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 33

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 32 Zaburi Zaburi 34 →

1Mwimbieni Bwana kwa furaha, enyi wenye haki;

2Msifuni Bwana kwa kinubi,

3Mwimbieni wimbo mpya;

4Maana neno la Bwana ni haki na kweli,

5Bwana hupenda uadilifu na haki;

6Kwa neno la Bwana mbingu ziliumbwa,

7Ameyakusanya maji ya bahari

8Dunia yote na imwogope Bwana,

9Kwa maana Mungu alisema, na ikawa,

10Bwana huzuia mipango ya mataifa,

11Lakini mipango ya Bwana inasimama imara milele,

12Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao,

13Kutoka mbinguni Bwana hutazama chini

14kutoka maskani mwake huwaangalia

15yeye ambaye huumba mioyo yao wote,

16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake;

17Farasi ni tumaini la bure kwa wokovu,

18Lakini macho ya Bwana yako kwa wale wamchao,

19ili awaokoe na mauti,

20Sisi tunamngojea Bwana kwa matumaini,

21Mioyo yetu humshangilia,

22Upendo wako usio na mwisho ukae juu yetu, Ee Bwana,

← Zaburi 32 Zaburi Zaburi 34 →