1Kwako wewe, Ee Bwana,
2ni wewe ninayekutumainia,
3Kamwe hakuna hata mmoja anayekutegemea
4Nionyeshe njia zako, Ee Bwana,
5niongoze katika kweli yako na kunifundisha,
6Kumbuka, Ee Bwana, rehema zako kuu na upendo,
7Usizikumbuke dhambi za ujana wangu
8Bwana ni mwema na mwenye adili,
9Huwaongoza wanyenyekevu katika haki,
10Njia zote za Bwana ni za upendo na uaminifu
11Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako,
12Ni nani basi, mtu yule anayemcha Bwana?
13Mtu huyo atafanikiwa maishani mwake,
14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao,
15Macho yangu humwelekea Bwana daima,
16Nigeukie na unihurumie,
17Shida za moyo wangu zimeongezeka,
18Uangalie mateso na shida zangu
19Tazama adui zangu walivyo wengi,
20Uyalinde maisha yangu na uniokoe,
21Uadilifu na uaminifu vinilinde,
22Ee Mungu, wakomboe Israeli,