We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 148

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 147 Zaburi Zaburi 149 →

1Msifuni Bwana.

2Msifuni, enyi malaika wake wote,

3Msifuni yeye, enyi jua na mwezi,

4Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu sana,

5Vilisifu jina la Bwana

6Aliviweka mahali pake milele na milele,

7Mtukuzeni Bwana kutoka duniani,

8umeme wa radi na mvua ya mawe, theluji na mawingu,

9ninyi milima na vilima vyote,

10wanyama wa mwituni na mifugo yote,

11wafalme wa dunia na mataifa yote,

12wanaume vijana na wanawali,

13Wote na walisifu jina la Bwana,

14Amewainulia watu wake pembe,148:14 Pembe hapa inawakilisha mwenye nguvu, yaani mfalme.

← Zaburi 147 Zaburi Zaburi 149 →