1Msifuni Bwana.
2Bwana hujenga Yerusalemu,
3Anawaponya waliovunjika mioyo
4Huzihesabu nyota
5Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi,
6Bwana huwahifadhi wanyenyekevu
7Mwimbieni Bwana kwa shukrani,
8Yeye huzifunika anga kwa mawingu,
9Huwapa chakula mifugo
10Furaha yake haipo katika nguvu za farasi,
11Bwana hupendezwa na wale wamchao,
12Mtukuze Bwana, ee Yerusalemu,
13kwa maana huimarisha makomeo ya malango yako
14Huwapa amani mipakani mwenu
15Hutuma amri yake duniani,
16Anatandaza theluji kama sufu
17Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe.
18Hutuma neno lake na kuviyeyusha,
19Amemfunulia Yakobo neno lake,
20Hajafanya hivyo kwa taifa lingine lolote,