We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 146

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 145 Zaburi Zaburi 147 →

1Msifuni Bwana!146:1 Msifuni Bwana kwa Kiebrania ni Hallelu Yah.

2Nitamsifu Bwana maisha yangu yote;

3Usiweke tumaini lako kwa wakuu,

4Roho yao itokapo hurudi mavumbini,

5Heri yeye ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake,

6Muumba wa mbingu na nchi,

7Naye huwapatia haki walioonewa

8Bwana huwafumbua vipofu macho,

9Bwana huwalinda wageni

10Bwana atamiliki milele,

← Zaburi 145 Zaburi Zaburi 147 →