1Msifuni Bwana.
2Jina la Bwana na lisifiwe,
3Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake,
4Bwana ametukuka juu ya mataifa yote,
5Ni nani aliye kama Bwana Mungu wetu,
6ambaye huinama atazame chini
7Huwainua maskini kutoka mavumbini,
8huwaketisha pamoja na wakuu,
9Humjalia mwanamke tasa kutulia nyumbani mwake,