We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 106

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 105 Zaburi Zaburi 107 →

1Msifuni Bwana.

2Ni nani awezaye kusimulia matendo makuu ya Bwana

3Heri wale wanaodumisha haki,

4Ee Bwana, unikumbuke unapowatendea mema watu wako,

5ili niweze kufurahia mafanikio ya wateule wako,

6Tumetenda dhambi, kama vile baba zetu walivyotenda,

7Wakati baba zetu walipokuwa Misri,

8Hata hivyo aliwaokoa kwa ajili ya jina lake,

9Alikemea Bahari ya Shamu, nayo ikakauka,

10Aliwaokoa mikononi mwa adui;

11Maji yaliwafunika adui zao,

12Ndipo walipoamini ahadi zake,

13Lakini mara walisahau aliyowatendea,

14Jangwani walitawaliwa na tamaa zao,

15Kwa hiyo aliwapa kile walichoomba,

16Kambini walimwonea wivu Mose,

17Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani,

18Moto uliwaka katikati ya wafuasi wao,

19Huko Horebu walitengeneza ndama,

20Waliubadilisha Utukufu wao

21Walimsahau Mungu aliyewaokoa,

22miujiza katika nchi ya Hamu

23Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza:

24Kisha waliidharau ile nchi nzuri,

25Walinungʼunika ndani ya mahema yao,

26Kwa hiyo akaapa kwa mkono ulioinuliwa

27kuwatawanya wazao wao waanguke miongoni mwa mataifa,

28Walijifunga nira na Baali wa Peori,

29Waliichochea hasira ya Bwana,

30Lakini Finehasi alisimama na kuingilia kati,

31Hili likahesabiwa kwake haki,

32Kwenye maji ya Meriba, walimkasirisha Bwana,

33kwa maana walimwasi Roho wa Mungu,

34Hawakuyaangamiza yale mataifa

35bali walijichanganya na mataifa

36Waliabudu sanamu zao,

37Wakawatoa wana wao

38Walimwaga damu isiyo na hatia,

39Wakajinajisi wenyewe kwa yale waliyotenda;

40Kwa hiyo Bwana akawakasirikia watu wake

41Akawakabidhi kwa mataifa

42Adui zao wakawaonea

43Mara nyingi aliwaokoa

44Lakini akaangalia mateso yao

45kwa ajili yao akakumbuka agano lake,

46Akawafanya wahurumiwe

47Ee Bwana Mungu wetu, tuokoe.

48Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli,

← Zaburi 105 Zaburi Zaburi 107 →