We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 103

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 102 Zaburi Zaburi 104 →

1Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.

2Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana,

3akusamehe dhambi zako zote,

4aukomboa uhai wako na kaburi,

5atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema,

6Bwana hutenda haki,

7Alijulisha Mose njia zake,

8Bwana ni mwingi wa huruma na mwenye neema;

9Yeye hatalaumu siku zote,

10yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu

11Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia sana,

12kama mashariki ilivyo mbali na magharibi,

13Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake,

14kwa kuwa anajua tulivyoumbwa,

15Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani,

16upepo huvuma juu yake nalo hutoweka,

17Lakini kutoka milele hata milele

18kwa wale walishikao agano lake

19Bwana ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni,

20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake,

21Mhimidini Bwana, ninyi jeshi lake lote la mbinguni,

22Mhimidini Bwana, kazi zake zote

← Zaburi 102 Zaburi Zaburi 104 →