We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Mithali 9

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Mithali 8 Mithali Mithali 10 →

1Hekima amejenga nyumba yake;

2Ameandaa nyama na kuchanganya divai yake;

3Amewatuma watumishi wake wa kike, naye huita

4Anawaambia wale wasio na akili,

5Njooni, mle chakula changu

6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi;

7“Yeyote anayemkosoa mwenye mzaha

8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia;

9Mfundishe mtu mwenye hekima

10“Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima,

11Kwa maana kwa msaada wangu

12Kama wewe una hekima, hekima yako itakupa tuzo;

13Mwanamke aitwaye Mpumbavu ana kelele;

14Huketi kwenye mlango wa nyumba yake,

15akiita wale wapitao karibu,

16Anawaambia wale wasio na akili,

17“Maji yaliyoibiwa ni matamu;

18Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo,

← Mithali 8 Mithali Mithali 10 →