We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Mithali 7

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Mithali 6 Mithali Mithali 8 →

1Mwanangu, shika maneno yangu

2Shika amri zangu nawe utaishi;

3Yafunge katika vidole vyako;

4Mwambie hekima, “Wewe ni dada yangu,”

5watakuepusha na mwanamke mzinzi,

6Kwenye dirisha la nyumba yangu

7Niliona miongoni mwa wajinga,

8Alikuwa akishuka njiani karibu na pembe ya kwake,

9wakati wa machweo, jua likipungua nuru yake,

10Ndipo huyo mwanamke akatoka kumlaki,

11(Ni mwanamke mwenye makelele na mkaidi,

12mara kwenye barabara za mji,

13Huyo mwanamke alimkumbatia kijana na kumbusu,

14“Nina sadaka za amani nyumbani;

15Kwa hiyo nimetoka nje kukulaki;

16Nimetandika kitanda changu

17Nimetia manukato kitanda changu

18Njoo, tuzame katika mapenzi mpaka asubuhi;

19Mume wangu hayupo nyumbani;

20Amechukua mkoba uliojazwa fedha

21Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha;

22Mara huyo kijana alimfuata yule mwanamke

23mpaka mshale umchome ini lake,

24Sasa basi wanangu, nisikilizeni;

25Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke,

26Aliowaangusha ni wengi;

27Nyumba yake ni njia kuu iendayo kaburini,7:27 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.

← Mithali 6 Mithali Mithali 8 →