We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Mithali 6

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Mithali 5 Mithali Mithali 7 →

1Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa jirani yako,

2kama umetegwa na ulichosema,

3basi fanya hivi mwanangu, ili ujiweke huru,

4Usiruhusu usingizi machoni pako,

5Jiweke huru, kama swala mkononi mwa mwindaji,

6Ewe mvivu, mwendee mchwa;

7Kwa maana yeye hana msimamizi,

8lakini hujiwekea akiba wakati wa kiangazi

9Ewe mvivu, utalala hata lini?

10Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo,

11hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi,

12Mtu mbaya sana na mlaghai,

13ambaye anakonyeza kwa jicho lake,

14ambaye hupanga ubaya

15Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula;

16Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana,

17macho ya kiburi,

18moyo uwazao mipango miovu,

19shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo,

20Mwanangu, zishike amri za baba yako,

21Yafunge katika moyo wako daima,

22Wakati utembeapo, yatakuongoza;

23Kwa maana amri hizi ni taa,

24yakikulinda na mwanamke aliyepotoka,

25Moyo wako usitamani uzuri wake

26kwa maana kahaba atakufanya uwe maskini,

27Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake

28Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya moto yanayowaka

29Ndivyo alivyo mtu alalaye na mke wa mwanaume mwingine;

30Watu hawamdharau mwizi kama akiiba

31Pamoja na hayo, kama akikamatwa,

32Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa;

33Mapigo na aibu ni fungu lake

34kwa maana wivu huamsha ghadhabu ya mume,

35Hatakubali fidia yoyote;

← Mithali 5 Mithali Mithali 7 →