1Misemo ya Aguri mwana wa Yake, usia:
2“Mimi ni mjinga kuliko wanadamu wote;
3Sijajifunza hekima,
4Ni nani ameshapanda mbinguni na kushuka?
5“Kila neno la Mungu ni kamilifu;
6Usiongeze kwenye maneno yake,
7“Ninakuomba vitu viwili, Ee Bwana;
8Uutenge mbali nami udanganyifu na uongo;
9Nisije nikawa na vingi vya kuzidi nikakukana
10“Usimchongee mtumishi kwa bwana wake,
11“Wako watu wale ambao huwalaani baba zao
12wale ambao ni safi machoni pao wenyewe
13wale ambao daima macho yao ni ya kiburi,
14wale ambao meno yao ni panga
15“Mruba anao binti wawili waliao,
16Ni kaburi, tumbo lisilozaa,
17“Jicho lile limdhihakilo baba,
18“Kuna vitu vitatu vinavyonishangaza sana,
19Ni mwendo wa tai katika anga,
20“Huu ndio mwendo wa mwanamke mzinzi,
21“Kwa mambo matatu nchi hutetemeka,
22Mtumwa awapo mfalme,
23mwanamke asiyependwa aolewapo,
24“Vitu vinne duniani vilivyo vidogo,
25Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo,
26Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo
27Nzige hawana mfalme,
28Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono,
29“Viko vitu vitatu ambavyo vinapendeza katika mwendo wao,
30simba, mwenye nguvu miongoni mwa wanyama,
31jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu,
32“Ikiwa umefanya upumbavu na ukajitukuza mwenyewe,
33Kwa maana kama vile kusukasuka maziwa hutoa siagi,