1Misemo ya Mfalme Lemueli, usia wa mama yake aliyomfundisha:
2“Ee mwanangu, ee mwana wa tumbo langu,
3Usitumie nguvu zako kwa wanawake,
4“Ee Lemueli, haifai wafalme,
5wasije wakanywa na kusahau vile sheria inavyoamuru
6Wape kileo wale wanaoangamia,
7Wanywe na kusahau umaskini wao
8“Sema kwa ajili ya wale wasioweza kujisemea,
9Sema na uamue kwa haki,
10Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata?
11Mume wake anamwamini kikamilifu
12Humtendea mumewe mema, wala si mabaya,
13Huchagua sufu na kitani
14Yeye ni kama meli za biashara
15Yeye huamka kungali bado giza
16Huangalia shamba na kulinunua,
17Hufanya kazi zake kwa nguvu,
18Huona kwamba biashara yake ina faida,
19Huweka mikono yake kwenye pia,
20Huwanyooshea maskini mikono yake
21Theluji ishukapo, hana hofu kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake,
22Hutengeneza mazulia ya urembo ya kufunika kitanda chake,
23Mume wake anaheshimiwa kwenye lango la mji,
24Hutengeneza mavazi ya kitani na kuyauza,
25Amevikwa nguvu na heshima,
26Huzungumza kwa hekima
27Huangalia mambo ya nyumbani mwake
28Watoto wake huamka na kumwita aliyebarikiwa,
29“Wanawake wengi hufanya vitu vyenye sifa nzuri,
30Kujipamba ili kuvutia ni udanganyifu na uzuri unapita upesi,
31Mpe thawabu anayostahili,