We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Mithali 27

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Mithali 26 Mithali Mithali 28 →

1Usijisifu kwa ajili ya kesho,

2Mwache mwingine akusifu,

3Jiwe ni zito na mchanga ni mzigo,

4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika,

5Afadhali karipio la wazi

6Majeraha kutoka kwa rafiki yaonyesha uaminifu,

7Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali,

8Kama ndege atangatangavyo mbali na kiota chake,

9Manukato na uvumba huleta furaha moyoni,

10Usimwache rafiki yako wala rafiki wa baba yako,

11Mwanangu, uwe na hekima,

12Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha,

13Chukua vazi la yule awekaye dhamana

14Kama mtu akimbariki jirani yake kwa sauti kuu

15Mke mgomvi ni kama

16Kumzuia yeye ni kama kuuzuia upepo

17Kama vile chuma kinoavyo chuma,

18Yeye autunzaye mtini atakula tunda lake,

19Kama uso uonekanavyo kwenye maji,

20Kuzimu na Uharibifu havishibi

21Kalibu ni kwa ajili ya fedha

22Hata ukimtwanga mpumbavu kwenye kinu,

23Hakikisha kuwa unajua hali ya makundi yako

24Kwa kuwa utajiri haudumu milele,

25Wakati majani makavu yameondolewa

26wana-kondoo watakupatia mavazi

27Utakuwa na maziwa mengi ya mbuzi

← Mithali 26 Mithali Mithali 28 →