1Kama theluji wakati wa kiangazi au mvua wakati wa mavuno,
2Kama shomoro apigapigavyo mabawa yake
3Mjeledi kwa farasi, lijamu kwa punda,
4Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake,
5Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake,
6Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa hasara,
7Kama miguu ya kiwete inavyoningʼinia
8Kama kufunga jiwe kwenye kombeo,
9Kama mwiba kwenye mkono wa mlevi
10Kama mpiga upinde ambaye hujeruhi ovyo,
11Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake,
12Je, unamwona mtu ajionaye mwenye hekima
13Mvivu husema, “Yuko simba barabarani,
14Kama vile mlango ugeukavyo kwenye bawaba zake,
15Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani,
16Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe,
17Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio,
18Kama mtu mwendawazimu
19ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema,
20Bila kuni moto huzimika;
21Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto,
22Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu;
23Kama rangi ingʼaayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo
24Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake,
25Ingawa maneno yake huvutia, usimwamini,
26Nia yake ya kudhuru wengine inaweza kufichwa na udanganyifu,
27Kama mtu akichimba shimo, atatumbukia ndani yake,
28Ulimi wa uongo, huwachukia wale unaowaumiza,