1Usiwaonee wivu watu waovu,
2kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri,
3Kwa hekima nyumba hujengwa,
4kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa
5Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa,
6kwa kufanya vita unahitaji uongozi
7Hekima i juu mno kwa mpumbavu,
8Yeye apangaye mabaya
9Mipango ya upumbavu ni dhambi,
10Ukikata tamaa wakati wa taabu,
11Okoa wale wanaoongozwa kwenye kifo;
12Kama mkisema, “Lakini hatukujua lolote kuhusu hili,”
13Ule asali mwanangu, kwa kuwa ni nzuri;
14Ujue pia kwamba hekima ni tamu kwa nafsi yako,
15Usivizie kama haramia afanyavyo ili kuyashambulia
16Kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena,
17Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo;
18Bwana asije akaona na kuchukia
19Usikasirike kwa sababu ya watu wabaya
20kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo,
21Mwanangu, mche Bwana na mfalme,
22kwa maana hao wawili watatuma maangamizi ya ghafula juu yao,
23Hii pia ni misemo ya wenye hekima:
24Yeyote amwambiaye mwenye hatia,
25Bali itakuwa vyema kwa wale watakaowatia hatiani wenye hatia,
26Jawabu la uaminifu
27Maliza kazi zako za nje,
28Usishuhudie dhidi ya jirani yako bila sababu,
29Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi;
30Nilipita karibu na shamba la mvivu,
31miiba ilikuwa imeota kila mahali,
32Nikatafakari moyoni mwangu lile nililoliona,
33Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo,
34hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi,