1Afadhali kula ukoko mkavu ukiwa na amani na utulivu
2Mtumishi mwenye hekima atatawala juu ya mwana aaibishaye,
3Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru ni kwa ajili ya dhahabu,
4Mtu mwovu husikiliza midomo mibaya;
5Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake;
6Wana wa wana ni taji la wazee,
7Midomo yenye uwezo wa ushawishi haimfai mpumbavu:
8Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho;
9Yeye anayesamehe kosa hudumisha upendo,
10Karipio humwingia sana mtu mwenye kutambua
11Mtu mbaya hupenda kuasi tu;
12Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyangʼanywa watoto wake,
13Ikiwa mtu atalipa baya kwa jema,
14Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji;
15Yeye asemaye kuwa asiye na haki ana haki,
16Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu,
17Rafiki hupenda wakati wote
18Mtu mjinga hupana mkono ili kuweka rehani,
19Yeye apendaye ugomvi apenda dhambi;
20Mtu mwenye moyo mpotovu hawezi kufanikiwa;
21Kuwa na mwana mpumbavu huleta huzuni;
22Moyo wenye furaha ni dawa nzuri,
23Mtu mwovu hukubali rushwa kwa siri
24Mtu wa ufahamu huitazama hekima,
25Mwana mpumbavu huleta huzuni kwa baba yake
26Si vizuri kumwadhibu mtu asiye na hatia,
27Mtu mwenye maarifa hutumia maneno kwa kujizuia,
28Hata mtu mpumbavu hudhaniwa kuwa na hekima kama akinyamaza,