We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Mithali 15

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Mithali 14 Mithali Mithali 16 →

1Jawabu la upole hugeuza ghadhabu,

2Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa,

3Macho ya Bwana yako kila mahali,

4Ulimi uletao uponyaji ni mti wa uzima,

5Mpumbavu hubeza maonyo ya baba yake,

6Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa,

7Midomo ya mwenye hekima hueneza maarifa,

8Bwana huchukia sana dhabihu za waovu,

9Bwana huchukia sana njia ya waovu,

10Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia;

11Mauti15:11 Yaani Sheol, maana yake ni Kuzimu. na Uharibifu15:11 Kwa Kiebrania ni Abadon. viko wazi mbele za Bwana:

12Mwenye mzaha huchukia maonyo;

13Moyo wenye furaha hufanya uso uchangamke,

14Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa,

15Siku zote za wanaoonewa ni za taabu,

16Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Bwana,

17Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo

18Mtu mwepesi wa hasira huchochea ugomvi,

19Njia ya mvivu imezibwa na miiba,

20Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake,

21Upumbavu humfurahisha mtu ambaye hana akili,

22Mipango hushindwa kufanikiwa kwa ajili ya kukosa ushauri,

23Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa:

24Mapito ya uzima huelekea juu kwa ajili ya wenye hekima

25Bwana hubomoa nyumba ya mtu mwenye kiburi,

26Bwana huchukia sana mawazo ya mwovu,

27Mtu mwenye tamaa huletea jamaa yake taabu,

28Moyo wa mwenye haki hupima majibu yake,

29Bwana yuko mbali na waovu,

30Mtazamo wa tabasamu huleta furaha moyoni,

31Yeye asikilizaye maonyo yatoayo uzima

32Yeye anayedharau maonyo hujidharau mwenyewe,

33Kumcha Bwana humfundisha mtu hekima,

← Mithali 14 Mithali Mithali 16 →