We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Mithali 13

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Mithali 12 Mithali Mithali 14 →

1Mwana mwenye hekima husikia mafundisho ya babaye,

2Kutoka tunda la midomo yake mtu hufurahia mambo mema,

3Yeye alindaye midomo yake hulinda nafsi yake,

4Mvivu hutamani sana na hapati kitu,

5Mwenye haki huchukia uongo,

6Haki humlinda mtu mwadilifu,

7Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote;

8Utajiri wa mtu waweza kukomboa maisha yake,

9Nuru ya mwenye haki hungʼaa sana,

10Kiburi huzalisha magomvi tu,

11Fedha isiyo ya halali hupungua,

12Kilichotarajiwa kikikawia kuja moyo huugua,

13Yeye anayedharau mafundisho anajiletea maangamizi,

14Mafundisho ya mwenye busara ni chemchemi ya uzima,

15Ufahamu mzuri hupata upendeleo,

16Kila mwenye busara hutenda kwa maarifa,

17Mjumbe mwovu huanguka kwenye taabu,

18Yeye anayedharau maonyo hupata umaskini na aibu,

19Tarajio lililotimizwa ni tamu kwa nafsi,

20Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima,

21Balaa humwandama mtenda dhambi,

22Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi,

23Shamba la mtu maskini laweza kuzalisha chakula kingi,

24Yeye aizuiaye fimbo yake hampendi mwanawe,

25Mwenye haki hula mpaka akaridhisha moyo wake,

← Mithali 12 Mithali Mithali 14 →