We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Mithali 12

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Mithali 11 Mithali Mithali 13 →

1Yeyote apendaye kuadibishwa hupenda maarifa,

2Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Bwana,

3Mtu hathibitiki kutokana na uovu,

4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe,

5Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki,

6Maneno ya waovu huotea kumwaga damu,

7Watu waovu huondolewa na kutoweka,

8Mtu husifiwa kulingana na hekima yake,

9Heri mtu wa hali ya chini mwenye mtumishi,

10Mtu mwenye haki hujali mahitaji ya mnyama wake,

11Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele,

12Waovu hutamani mateka ya watu wabaya,

13Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake ya dhambi,

14Kutokana na tunda la midomo yake

15Njia ya mpumbavu huonekana sawa

16Mpumbavu huonyesha kuudhika kwake mara moja,

17Shahidi wa kweli hutoa ushuhuda wa kuaminika,

18Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga,

19Midomo isemayo kweli hudumu milele,

20Upo udanganyifu katika mioyo

21Hakuna dhara linalompata mwenye haki,

22Bwana anachukia sana midomo idanganyayo,

23Mtu mwenye busara hujihifadhia maarifa yeye mwenyewe,

24Mikono yenye bidii itatawala,

25Moyo wa wasiwasi humlemea mtu,

26Mtu mwenye haki ni mwangalifu katika urafiki,

27Mtu mvivu haoki mawindo yake,

28Katika njia ya haki kuna uzima;

← Mithali 11 Mithali Mithali 13 →