We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Mithali 11

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Mithali 10 Mithali Mithali 12 →

1Bwana huchukia sana mizani za udanganyifu,

2Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu,

3Uadilifu wa wenye haki huwaongoza,

4Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu,

5Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka,

6Haki ya wanyofu huwaokoa,

7Wakati mtu mwovu anapokufa, matumaini yake hutoweka;

8Mtu mwenye haki huokolewa kutoka taabu,

9Kwa kinywa chake mtu asiyemwamini Mungu

10Wakati mwenye haki anapofanikiwa, mji hufurahi;

11Kutokana na baraka ya mtu mnyofu mji hukwezwa,

12Mtu asiye na akili humdharau jirani yake,

13Masengenyo husaliti tumaini,

14Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka,

15Yeye amdhaminiye mgeni hakika atateseka,

16Mwanamke mwenye moyo wa huruma hupata heshima,

17Mwenye huruma hujinufaisha mwenyewe,

18Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu,

19Mtu mwenye haki kweli kweli hupata uzima,

20Bwana huwachukia sana watu wenye moyo wa upotovu,

21Uwe na hakika na hili: Waovu hawataepuka kuadhibiwa,

22Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe

23Shauku ya mwenye haki huishia tu kwenye mema,

24Kuna mtu atoaye kwa ukarimu, hata hivyo hupata zaidi,

25Mtu mkarimu atastawi;

26Watu humlaani mtu awanyimae watu nafaka,

27Yeye atafutaye mema hupata ukarimu,

28Yeyote ategemeaye utajiri wake ataanguka,

29Yeye aletaye taabu kwa jamaa yake atarithi tu upepo,

30Tunda la mwenye haki ni mti wa uzima,

31Kama wenye haki watapokea ujira wao duniani,

← Mithali 10 Mithali Mithali 12 →