1Wakati Efraimu alipozungumza, watu walitetemeka,
2Sasa wanatenda dhambi zaidi na zaidi;
3Kwa hiyo watakuwa kama ukungu wa asubuhi,
4“Bali mimi ndimi Bwana Mungu wenu,
5Niliwatunza huko jangwani,
6Nilipowalisha, walishiba,
7Kwa hiyo nitakuja juu yao kama simba,
8Kama dubu aliyenyangʼanywa watoto wake,
9“Ee Israeli, umeangamizwa,
10Yuko wapi mfalme wako,
11Hivyo katika hasira yangu nilikupa mfalme
12Kosa la Efraimu limehifadhiwa,
13Utungu kama wa mwanamke anayejifungua mtoto humjia,
14“Nitawakomboa watu hawa kutoka nguvu za kaburi,
15hata ingawa Efraimu atastawi
16Watu wa Samaria ni lazima wabebe hatia yao,