1Efraimu anajilisha upepo;
2Bwana analo shtaka dhidi ya Yuda,
3Yakobo akiwa tumboni alishika kisigino cha kaka yake;
4Alishindana na malaika na kumshinda;
5Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote,
6Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako;
7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu;
8Efraimu hujisifu akisema,
9“Mimi ndimi Bwana Mungu wenu
10Niliongea na manabii, nikawapa maono mengi
11Je, Gileadi si mwovu?
12Yakobo alikimbilia katika nchi ya Aramu;
13Bwana alimtumia nabii
14Lakini Efraimu amemchochea sana hasira;