We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Yeremia 9

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Yeremia 8 Yeremia Yeremia 10 →

1Laiti kichwa changu kingekuwa chemchemi ya maji

2Laiti ningekuwa na nyumba

3“Huweka tayari ndimi zao kama upinde,

4“Jihadhari na rafiki zako;

5Rafiki humdanganya rafiki,

6Unakaa katikati ya udanganyifu;

7Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote:

8Ndimi zao ni mshale wenye sumu,

9Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya jambo hili?”

10Nitalia na kuomboleza kwa ajili ya milima

11“Nitaifanya Yerusalemu lundo la magofu,

12Ni mtu yupi aliye na hekima ya kutosha ayaelewe haya? Ni nani aliyefundishwa na Bwana awezaye kuyaeleza haya? Kwa nini nchi imeharibiwa na kufanywa ukiwa kama jangwa ambapo hakuna awezaye kupita?

13Bwana akasema, “Ni kwa sababu wameiacha sheria yangu, niliyoiweka mbele yao: hawajaniheshimu mimi wala kufuata sheria yangu.

14Badala yake wamefuata ukaidi wa mioyo yao, wamefuata Mabaali, kama vile baba zao walivyowafundisha.”

15Kwa hiyo, hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: “Tazama, nitawafanya watu hawa wale chakula kichungu na kunywa maji yenye sumu.

16Nitawatawanya katika mataifa ambayo wao wala baba zao hawakuwajua, nikiwafuata kwa upanga mpaka niwe nimewaangamiza kabisa.”

17Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote:

18Nao waje upesi

19Sauti ya kuomboleza imesikika kutoka Sayuni:

20Basi, enyi wanawake, sikieni neno la Bwana;

21Mauti imeingia ndani kupitia madirishani,

22Sema, “Hili ndilo asemalo Bwana:

23Hili ndilo asemalo Bwana:

24lakini yeye ajisifuye, na ajisifu kwa sababu hili:

25“Siku zinakuja, nitakapowaadhibu wale wote ambao wametahiriwa kimwili tu, asema Bwana,

26yaani Misri, Yuda, Edomu, Amoni, Moabu na wote wanaoishi jangwani sehemu za mbali. Kwa maana mataifa haya yote hayakutahiriwa mioyo yao, nayo nyumba yote ya Israeli haikutahiriwa.”

← Yeremia 8 Yeremia Yeremia 10 →