1Sikieni lile ambalo Bwana, anena nanyi ee nyumba ya Israeli.
2Hili ndilo asemalo Bwana:
3Kwa maana desturi za mataifa hazina maana,
4Wanaparemba kwa fedha na dhahabu,
5Sanamu zao ni kama sanamu
6Hakuna aliye kama wewe, Ee Bwana;
7Ni nani ambaye haimpasi kukuheshimu wewe,
8Wote hawana akili, tena ni wapumbavu,
9Huleta fedha iliyofuliwa kutoka Tarshishi
10Lakini Bwana ni Mungu wa kweli,
11“Waambie hivi: ‘Miungu hii, ambayo haikuumba mbingu na dunia, itaangamia kutoka dunia na kutoka chini ya mbingu.’ ”
12Lakini Mungu aliiumba dunia kwa uweza wake,
13Atoapo sauti yake, maji yaliyo katika mbingu hunguruma;
14Kila mmoja ni mjinga na hana maarifa,
15Havifai kitu, ni vitu vya kufanyia mzaha tu,
16Yeye aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo,
17Kusanyeni mali na vitu vyenu mwondoke nchi hii,
18Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana:
19Ole wangu mimi kwa ajili ya kuumia kwangu!
20Hema langu limeangamizwa;
21Wachungaji hawana akili
22Sikilizeni! Taarifa inakuja:
23Ninajua, Ee Bwana, kwamba maisha ya mwanadamu si yake mwenyewe;
24Unirudi, Ee Bwana, lakini kwa kipimo cha haki:
25Umwage ghadhabu yako juu ya mataifa