1“ ‘Wakati huo, asema Bwana, mifupa ya wafalme na maafisa wa Yuda, mifupa ya makuhani na manabii, na mifupa ya watu wa Yerusalemu itaondolewa kutoka makaburi yao.
2Itawekwa wazi kwa jua, na mwezi, na nyota zote za mbingu, ambazo walizipenda na kuzitumikia, na ambazo wamezifuata kutafuta ushauri na kuziabudu. Hawatakusanywa pamoja au kuzikwa, lakini watakuwa kama mavi yaliyotapakaa juu ya ardhi.
3Popote nitakapowafukuzia, mabaki wote wa kizazi hiki kiovu watatamani kufa kuliko kuishi, asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.’
4“Waambie, ‘Hivi ndivyo asemavyo Bwana:
5Kwa nini basi watu hawa walipotea?
6Nimewasikiliza kwa makini,
7Hata korongo aliyeko angani
8“ ‘Mwawezaje kusema, “Sisi tuna busara
9Wenye hekima wataaibika,
10Kwa hiyo nitawapa watu wengine wake zao,
11Wanafunga majeraha ya watu wangu
12Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao inayochukiza mno?
13“ ‘Nitayaondoa mavuno yao,
14“Kwa nini tunaketi hapa?
15Tulitegemea amani,
16Mkoromo wa farasi za adui
17“Tazama, nitatuma nyoka wenye sumu kali katikati yenu,
18Ee Mfariji wangu katika huzuni,
19Sikia kilio cha watu wangu
20“Mavuno yamepita,
21Kwa kuwa watu wangu wamepondwa, nami nimepondeka pia;
22Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi?