1“Pandeni na kushuka katika mitaa ya Yerusalemu,
2Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama Bwana aishivyo,’
3Ee Bwana, je, macho yako hayaitafuti kweli?
4Ndipo nikasema, “Hawa ni maskini tu;
5Kwa hiyo nitakwenda kwa viongozi
6Kwa hiyo simba kutoka mwituni atawashambulia,
7“Kwa nini niwasamehe?
8Wamelishwa vizuri, kama farasi waume wenye tamaa nyingi,
9Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?”
10“Piteni katika mashamba yake ya mizabibu na kuyaharibu,
11Nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda
12Wamedanganya kuhusu Bwana.
13Manabii ni upepo tu, wala neno halimo ndani yao,
14Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote:
15Ee nyumba ya Israeli,” asema Bwana,
16Podo zao ni kama kaburi lililo wazi,
17Watayaangamiza mazao yenu na chakula chenu,
18“Hata hivyo katika siku hizo, sitakuangamiza kabisa,” asema Bwana.
19“Nao watu watakapouliza, ‘Kwa nini Bwana, Mungu wetu ametufanyia mambo haya yote?’ utawaambia, ‘Kama vile mlivyoniacha mimi na kutumikia miungu migeni katika nchi yenu wenyewe, ndivyo sasa mtakavyowatumikia wageni katika nchi ambayo si yenu.’
20“Itangazie nyumba ya Yakobo hili
21Sikieni hili, enyi watu wapumbavu, msio na akili,
22Je, haiwapasi kuniogopa mimi?” asema Bwana.
23Lakini watu hawa wana mioyo ya ukaidi na ya uasi,
24Wao hawaambiani wenyewe,
25Matendo yenu mabaya yamezuia haya yote,
26“Miongoni mwa watu wangu wamo walio waovu
27Kama vitundu vilivyojaa ndege,
28wamenenepa na kunawiri.
29Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?”
30“Jambo la kutisha na kushtusha
31Manabii wanatabiri uongo,