We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Yeremia 4

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Yeremia 3 Yeremia Yeremia 5 →

1“Ikiwa utataka kurudi, ee Israeli,

2ikiwa kwa kweli, kwa haki na kwa unyofu utaapa,

3Hili ndilo asemalo Bwana kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu:

4Jitahirini katika Bwana,

5“Tangaza katika Yuda na upige mbiu katika Yerusalemu na kusema:

6Onyesheni ishara ili kwenda Sayuni!

7Simba ametoka nje ya pango lake,

8Hivyo vaeni nguo za magunia,

9“Katika siku ile,” asema Bwana

10Ndipo niliposema, “Aa, Bwana Mwenyezi, umewadanganyaje kabisa watu hawa na Yerusalemu kwa kusema, ‘Mtakuwa na amani,’ wakati upanga uko kwenye koo zetu!”

11Wakati huo watu hawa na Yerusalemu wataambiwa, “Upepo wa moto kutoka miinuko iliyo kame katika jangwa unavuma kuelekea watu wangu, lakini sio kupepeta au kutakasa,

12upepo wenye nguvu sana kuliko wa kupepeta na kutakasa utakuja kwa amri yangu. Sasa natangaza hukumu zangu dhidi yao.”

13Tazama! Anakuja kama mawingu,

14Ee Yerusalemu, usafishe uovu kutoka moyoni mwako na uokolewe.

15Sauti inatangaza kutoka Dani,

16“Waambie mataifa jambo hili,

17Wamemzunguka kama watu walindao shamba,

18“Mwenendo wako na matendo yako mwenyewe

19Ee mtima wangu, mtima wangu!

20Maafa baada ya maafa,

21Hata lini nitaendelea kuona bendera ya vita

22“Watu wangu ni wapumbavu,

23Niliitazama dunia,

24Niliitazama milima, nayo ilikuwa ikitetemeka,

25Nilitazama, wala watu hawakuwepo;

26Nilitazama, hata nchi iliyokuwa imestawi vizuri imekuwa jangwa,

27Hivi ndivyo Bwana asemavyo:

28Kwa hiyo dunia itaomboleza

29Kwa sauti ya wapanda farasi na wapiga upinde

30Unafanya nini, ewe uliyeharibiwa?

31Nasikia kilio kama cha mwanamke

← Yeremia 3 Yeremia Yeremia 5 →