We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Yeremia 49

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Yeremia 48 Yeremia Yeremia 50 →

1Kuhusu Waamoni:

2Lakini siku zinakuja,”

3“Lia kwa huzuni, ee Heshboni, kwa kuwa Ai umeangamizwa!

4Kwa nini unajivunia mabonde yako,

5Nitaleta hofu kuu juu yako

6“Lakini hatimaye,

7Kuhusu Edomu:

8Geuka na ukimbie, jifiche katika mapango marefu kabisa,

9Je, kama wachuma zabibu wangekuja kwako,

10Lakini nitamvua Esau nguo abaki uchi,

11Waache yatima wako; nitayalinda maisha yao.

12Hili ndilo asemalo Bwana: “Kama wale wasiostahili kukinywea kikombe ni lazima wakinywe, kwa nini wewe usiadhibiwe? Hutakwepa kuadhibiwa, ni lazima ukinywe.

13Ninaapa kwa nafsi yangu,” asema Bwana, “kwamba Bosra utakuwa magofu na kitu cha kutisha, cha aibu na cha kulaania; miji yake yote itakuwa magofu milele.”

14Nimesikia ujumbe kutoka kwa Bwana:

15“Sasa nitakufanya uwe mdogo miongoni mwa mataifa,

16Vitisho vyako na kiburi cha moyo wako

17“Edomu atakuwa kitu cha kuogofya;

18Kama vile Sodoma na Gomora zilivyoangamizwa,

19“Kama simba anayepanda kutoka vichaka vya Yordani

20Kwa hiyo, sikia kile Bwana alichokipanga dhidi ya Edomu,

21Kwa sauti ya anguko lao, dunia itatetemeka.

22Tazama! Tai atapaa juu angani na kuruka chini kwa ghafula,

23Kuhusu Dameski:

24Dameski amedhoofika,

25Kwa nini mji ambao unajulikana haujaachwa,

26Hakika, vijana wake wanaume wataanguka barabarani;

27“Nitatia moto kuta za Dameski;

28Kuhusu Kedari na falme za Hazori, ambazo Nebukadneza mfalme wa Babeli alizishambulia:

29Hema zao na makundi yao ya kondoo yatachukuliwa;

30“Kimbieni haraka!

31“Inuka na ulishambulie taifa lililo starehe,

32Ngamia wao watakuwa nyara,

33“Hazori itakuwa makao ya mbweha,

34Hili ndilo neno la Bwana lililomjia nabii Yeremia kuhusu Elamu, mapema katika utawala wa Sedekia mfalme wa Yuda:

35Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo:

36Nitaleta pepo nne dhidi ya Elamu

37Nitamfadhaisha Elamu mbele ya adui zao,

38Nitaweka kiti changu cha enzi huko Elamu

39“Lakini nitarudisha mateka wa Elamu

← Yeremia 48 Yeremia Yeremia 50 →